Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, November 28, 2012

Bendi ya muziki wa dansi kutoka nchini Scotland, Big Jess yawakuna wanafunzi Dar

British Airways' Commercial Manager Tanzania, Saada Juma akiwapatia soda wanafunzi hao siku hiyo

Huyu dada hakuwa nyuma kusakata muziki na mwanafunzi huyu

Wafanyakazi wakiwa wanaburudika na wanafunzi baada muziki kukolea

Ikafika muda wa kucheza mmoja mmoja

Mwanafunzi huyu aliwakilisha na mzungu wake huyu

Umati mkubwa wa wanafunzi ulihudhuria hafla hiyo

Commercial Manager wa British Airways Tanzania Saada Juma alijikuta akishindwa kujizuia na kucheza sana na mwanafunzi huyu
Walipata fursa ya kupiga picha na wanafunzi

Mwanadada huyu aliwachengua vya kutosha wanafunzi hao

Nao hawakuwa nyuma katika kucheza pamoja na wazungu hao

 Bendi ya muziki wa dansi kutoka nchini Scotland, Big Jess ikiwaburudisha wanafunzi wa shule ya viziwi Buguruni wakati ilipofanya ziara ya kutoa misaada na burudani shuleni hapo (Picha na Evance Ng’ingo)



Mustapha atoa somo kwa wadau wa Swahili Fashion

Add caption


                                                             Jack Mzindakaya

muda wa pics

Wadada hawa pia walikuwapo siku hiyo

Tuesday, November 27, 2012

2012 a banner year for Heineken Tanzania

















This has been an exceptional year in the Tanzania market for Dutch beer company, HEINEKEN.  Although HEINEKEN has been present in the Tanzanian market for decades, it was this year that HEINEKEN fully committed to the market and setup offices in Dar es Salaam.

HEINEKEN made major waves in the market when they launched the Heineken Champions Planet in Masaki.  The HCP was an exclusive location where football fans could watch all of the UEFA Champions Cup action on big screen TV’s while enjoying the Heineken brand with friends.  HEINEKEN is a global sponsor of the UEFA Cup and was able to give HCP guests unparalleled access to most of the Champions Cup action.

HEINEKEN also used their global sponsorship of the James Bond Movie brand to create an exclusive black carpet premier event at Century Cinemas that rewarded 300 loyal consumers and their partners as well as A list celebrities with a private premier of the latest James Bond movie Skyfall in Dar es Salaam one day before the movie premiered in London or Hollywood.  Something that is virtually unheard of in Tanzania.

On the ground, HEINEKEN has partnered with key outlets in Dar es Salaam and have gone well beyond the usual activity of most beer brands which are notorious for limiting their support to placing signboards and posters, at Didi’s Pub in Dar, HEINEKEN invested in complete renovation of the Oyster Bay landmark. Some of the upgrades that HEINEKEN provided include new lighting, new seating, tiled flooring, and windows.

Heineken also formalized their local operations and opened the HEINEKEN Tanzania Limited offices in Oyster Bay.  With these offices now open, HEINEKEN is relying upon their local team of majority Tanzanian’s to manage the everyday marketing of the brand.  HEINEKEN also confirmed a new distribution partner, Maxam, who is slated with the task of ensuring that the Heineken brand is available everywhere in Tanzania thus tying up loopholes that previously existed within the distribution chain.

HEINEKEN Country Manager, Mr. Uche Unigwe said that this year’s activities are just a beginning for the Heineken brand in Tanzania and East Africa as a whole. “We are here for the long haul and have some amazing things on the horizon for 2013” said Unigwe who is a 25 year veteran with the HEINEKEN Company.

“HEINEKEN has always been known for being a market leader in creativity and innovative ways to reach our target consumers, our events this year in Tanzania have proven that fact and in 2013 we intend to take the Heineken brand to the next level” added Unigwe.




Monday, November 26, 2012

Sharo Mlionea afariki Dunia kwa ajali ya gari.

Ajari ya gari iliyohusisha gari alilikuwa akisafiria msanii maarufu kama Shalo bilionea imepelekea msanii huyu kuaga dunia. Baada ya gari yake ndogo kupinduka akiwa safarini mkoani Tanga, alipoteza maisha hapohapo na kwamba maiti yake imehifadhiwa katika chumba cha maiti hospitali ya Muheza. ajari hiyo imetokea majira ya saa mbili usiku huu. Kazi yake Mola haina makosa na Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Marehemu msanii Shalo


TEA iliyochangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa  akimkabidhi shilingi milioni 3 aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asharose Migiro kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa mabweni
ya wasichana
Mdau wa masuala ya Mitindo nchini ambae ni mmiliki wa Blog ya 8020, anastahili pongezi kubwa sana kwa kuwa amewezesha marafiki zake na wadau wengine wa elimu kuchangia laki sita na uchafu kusaidia suala hilo la ujenzi wa mabweni

Miss Tanzania Nancy Sumari 2005 akimkabidhi Mama Migiro mchango wake wa USD 1000 kwa kweli inatia moyo kwa kuwa alionesha kuguswa na tatizo hilo, Nancy ni Balozi wa elimu

Sunday, November 25, 2012

Mamodel wa Swahili Fashion wapewa somo

Add caption

Ilifika muda hata majaji walilazimika kubishana na kufikia hatua hata ya kutaka kupigana

Wanamitindo wakipita mbele ya majaji

Huyu jamaa aliwavutia watu wengi zaidi katika usaili huo

Ililazimika kuvua nguo kuonesha miili yao

Mh Mwajabu huyu ni mwanamitindo mkongwe

Haka kadada nako ni kanamitindo kapya

wakiwa katika picha ya pamoja wanamitindo hawa wa Swahili Fashion 2012   




Yani shule ya Michael Mausa we acha tu!!! wanafunzi wawashangaza wazazi wa vipaji vyao

Wahitimu wenyewe wakiwa wanatoa burudani

Wanafunzi wa madarasa ya juu wakiwaangalia wenzao

Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya awali wakitoa burudani safi

Mkurugenzi wa shule akitoa nasaha zao

Mwanafunzi akisoma risala zake

Burudani safi ikiendelea

Pia kulikuwa na maigizo yenye ujumbe.
Wanafunzi wa shule nzuri na ya kisasa ya Michael Mausa juzi walimaliza masomo yao ya awali ambapo walipata nafasi ya kuonesha vipaji vyao na pia kuwapatia fursa wazazi na walimu kukutana.

Shule hiyo ambayo kwa sasa ipo darasa la sita imeweza kufanikisha wanafunzi waliofanya mitihani mbalimbali kufanya vema mitihani yao hiyo na kushika nafasi za juu.

Ni shule nzuri ya kisasa iliyopo Tabata Kinyerezi na kwa mawasiliano zaidi piga  0713 276402

KCB yatoa milioni 5/= kusaidia ujenzi wa mabweni ya wasichana nchini



Mdau huyu wa elimu aliamua kutoa USD 100 usiku huohuo kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa mabweni ya wasichana
hapo akishikana mikono na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose Migiro
Inatia moyo kama familia kusaidia ujenzi wa mabweni ya wasichana kwa lengo la kuinua elimu ya wasichana nchini

Add caption

Head of Marketing and Corporate Affairs wa KCB Bank (T) Limited Christina Manyenye akikabidhi shilingi milioni tano kwa Asharose Migiro kulia kwa Asharose ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa