
Na Mwandishi Wetu WAKATI ikiwa imebaki wiki moja kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaohitaji mikopo kuwa wamewasilisha maombi kabla ya muda wa ukomo, wanafunzi zaidi 60,000 wamejitokeza kuomba kupatiwa mikopo.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) katika taarifa yake, imesema mchakato huo ulioanza Mei Mosi mwaka huu na mwisho wa kutuma maombi ni Juni 30.
Imesema mchakato unaendelea vizuri na wanafunzi...