Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, May 27, 2012

Jicho la blog hii liliangazia michezo weekend hii

  Mwalimu wa mchezo wa gofu Mbwana Juma akiwaelekeza wachezaji wa timu ya gofu ya taifa wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na kombe la Afrika, kutoka kushoto ni Hawa Wanyache, Ayne Magembe, Madimna Iddi alikuwa akiwafundishia katika uwanja wa Gymkhana  Kijana huyu alikuwa akijifunza namna ya kucheza Tennis  Mwanadada huyu alikuwa akifundishwa kucheza Gofu Hwa watoto nao walikutwa wakijifunza Ten...

Thursday, May 24, 2012

Mfuko wa Tushikamane kusaidia wazee na masuala ya elimu nchini

 Mbunifu wa mavazi Binti Afrika akipewa zawadi kutoka kwa Mama Bilal kutokana na mchango wake siku hiyo ya kuchangisha michango ya kuwasaidia wazee pamoja na masuala ya elimu nchini  Watoto hawa wanafunzi wakiwa wanaonesha mavazi yao siku hiyo walikuwa kama wanamitindo  Huyu mwanafunzi ndio mzuka ulimpanda na akashinwa kupozi akajikuta akiruka ruka jukwaani Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Kawe Halima Mdee akipita mbele ya jukwaa...

Elimu ya soka kutolewa katika tamasha la Simba

Meneja wa ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo akiwa na Juma Kaseja wakizungumzia kuhusiana na elimu na tamasha la sherehe za Simba litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar live, wapenzi na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kwenda kujifunza katika tamasha hilo. Kutakuwa na elimu kuhusiana na soka na masuala mengine muhimu katika nyanja za soka nch...

Friday, May 18, 2012

Kipindi cha kuelimisha, kuburudisha na kuadabisha chaja EATV Alhamisi hii

 Mwendeshaji wa kipindi hicho Mboni Masimba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  Mboni akiwa na Meneja Uhusiano wa kipindi hicho Shamim Mwasha wa 8020blog Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Sunday, May 13, 2012

Kanisa la Redeemed Gospel Church latoa somo kwa Alice Foundation

Mwenyekiti wa Alice Foundation akipokea chakula kutoka kwa Mch. Mkenda na wazee wa baraza kanisa la Redeemed wakimkabidhi msaada Alice James Dosi kwa ajili kuwasaidia watoto walio na matatizo mbalimbali. Kanisa hilo lilitoa somo la upendo na moyo wa kusaidia kwa Taasisi h...

Friday, May 11, 2012

BSS NA BASATA WAPEANA SOMO

 Msanii wa muziki wa asili Chemundu Gwao akiwa na wasanii waliofanya vema katika BSS mwaka jana Haji Ramadhan na Wazzi  Chemundu Gwao akichangia mada Mmiliki wa Bernchmark Production ambae ndio mmiliki wa program ya BSS Ritha Paulsen  akisistiza jambo kwa mratibu wa BSS katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Vicky Temu. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Wanafunzi jitokezeni kEsho katika Ukumbi wa Nkurumah UDSM

 Meneja Masoko wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Omari Mbura akitoa maelezo kwa waandishi kuhusiana na tukio hilo la kesho katika ukumbi wa Nkuruma, pembeni yake ni Mustapha Hasanali   Mtaalamu kutoka nchini India ambae ni mmoja kati ya waratibu wa shughuli hiyo ya kesho. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Monday, May 7, 2012

Maziko ya mwanafunzi Isabela wa shule ya Little Beaumont

 Mwanafunzi Isabela ambae pia alikuwa ana malengo makubwa katika tasnia ya Modeling aliyefariki mwezi uliopita na kuzikwa nyumbani kwa babu yake Makongo Juu, mtoto huyu alikuwa bega kwa bega na mama yake ambae ni mbunifu wa mavazi, Evelyin Rugemalila ambapo mara ya mwisho alienda nae nchini Afrika Kusini katika wiki ya mavazi ya Afrika Kusini. Wadau wa mitindo na mavazi wakiongozwa na mwanamitindo mahiri wa kimataifa wa ndani na nje ya nchi...

Shindano la Excel with Grand Malt kwa vyuo vikuu lazinduliwa

 Msanii muziki Hip Hop Joe Makini akiburudisha katika Tamasha hilo lililofanyika katika sekondari ya Central Dodoma Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt Consolata Adam (Mama Adam) kushoto akiwa na Meneja Masoko wa Tanzania Breweries Nick Tesha wakati wa uzinduzi wa shindano la Excel with Grand Malt wakati wa Tamasha la uzinduzi wa tamasha la&nb...

Wasanii Mabalozi wa Malari waendeleza elimu kwa wanajamii dhidi ya ugonjwa huo

 Walishikana mikono kuashiria ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...