Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, February 28, 2012

Kampuni ya kijerumani ya Merck yajitosa kupambana na kipindupindu kwa wanafunzi Pemba

  Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Tuesday, February 21, 2012

THT ambao ni watendaji wakuu wa mradi wa Zinduka waanza kutoa elimu ya Maralia kanda ya Ziwa

Ziara hiyo imedhaminiwa na Africa Barrick Gold  Wakitumia sanaa za maonesho kutoa ujumbe wa Malaria Waelimishaji wakiwauliza maswali watoto hao Na Evance Ng’ingo KUNDI la Tanzania House of Talent (THT) limeanza ziara ya siku 60 kwa mikoa ya kanda ya Ziwa ambapo wanatumia sanaa ya maonesho kuelimisha kuhusu ugonjwa wa Malaria. Ziara hiyo inahusisha mikoa ya Mara, Mwanza, Kagera na  Shinyanga ambapo wasanii hao wanafika...

Kajifunzeni lugha Alliance Francais

...

Monday, February 20, 2012

Mzingira bora ya kuchezea watoto ni muhimu kwa afya zao pia

 Kukosekana kwa viwanja vya michezo kunawafanya watoto kubuni hata magoli yao wenyewe kama yanavyoonekana haya magoli Watot hawa wakisakata kabumbu huku wakiwa wamevalia yeboyebo ...

Mange wa U -turn blog aendeleza love kwa wanafunzi na watoto wa mitaani

 Ilikuwa ni katika kituo cha watoto  Mikocheni, mwanadada huyu anatumi ablog yake hiyo kuwasaidia watoto wenye mazingira magumu kwa kuwapatia misaada Sehemu ya darasa hilo ambapo watoto hao husoma na kulelewa h...

Kamati ya vazi la taifa yatoa somo kwa wadau wa vazi hilo

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Eti Ndalichako atakiwa kujiuzulu

(Tuma mawazo yako baada ya kusoma) BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamefutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne visiwani Zanzibar wanakusudia kulifikisha mahakamni Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kutoa adhabu hiyo kinyume cha sheria. Wazazi hao walitoa kusudia hilo mjini hapa jana katika wakati wa mjadala uliowashirikisha wadau mbali mbali wa sekta ya elimu na wanaharakati kujadili uamuzi wa Necta wa kuwafutia matokeo...

Rais Kikwete akisalimiana na Mwanafunzi Godlisten Ole

" "Nikiwa mkubwa natarajia kuwa kama wewe" ndio anavyoonekana kusema mtoto huyu kwa Kikwete mara baada ya kusalimiana walipokutana Longido wakati Kikwete alipoenda kufungua mradi wa uwezeshaji wa mif...

Sunday, February 19, 2012

Msanii Mosp aendeleza elimu ya muziki maofisini

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Friday, February 17, 2012

Alice Foundation yatoa mafunzo ya katiba kwa wakazi wa Ubungo

 Bi Alice akiwa katika harakati zakuandaa notes kwa ajili ya wakazi hao ambayo iliandaliwa na Taasisi ya Alice kwa ushirikiano na Wizara ya Fedha ambapo elimu ya Mkukuta ilitolewa kwa watendaji na mwenyekiti serikali za mitaa zote katika kata ya Ubungo wilaya ya kinondoni Dar- es-salaam. wajasiriamali katika kata ya Ubungo pia walikuwepo.  Alice akiwa na mtoa mada kutoka wizara ya Fedha  Mtoa mada akiwafundisha wakazi hao...

Umuhimu wa kuwa na vitabu vya kutosha kwa kila mwanafunzi7tisha

...

Thursday, February 16, 2012

Watoto wa Tanzania Mitindo House wapewa fedha za kusoma

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Watoto Waathirika na VVU cha Tanzania Mitindo House (TMH), Bi Khadija Mwanamboka (kushoto) ikiwa ni msaada kwa kituo hicho kwa ajili ya kukabiliana na changamoto mbalimbali wakati maofisa wa benki hiyo walipotembelea kituo hicho Magomeni, Dar es Salaam jana. Wakishuhudia...

Wednesday, February 15, 2012

Ujamaa Arts Gallery yashirikiana na UNHCR yatoa mafunzo ya kuibua vipaji vya uchoraji kwa watoto waliopo katika kambi za wakimbizi nchini

 Mkurugenzi wa Ujamaa Arts Gallery Lorna Mashiba akihutubia katika ufunguzi wa maonesho yao yanayoendelea katika Gallery hiyo iliyopo katika eneo la Mbuyuni njia ya kuelekea Mwenge, wadau wanaombwa kuhudhuria na kununua picha hizo ili kuwezesha zoezi la kuwasaidia watoto hao kujifunza zaidi uchoraji wa picha  Mkurugenzi Mkazi wa UNHCR nchini Oluseyi Bajulaiye akihutubia katika ufunguzi wa maonesho hayo ambayo yanaendelea katika Gallery...

Watu wengi walihudhuria kuona picha za watoto hao

 Wachina hawa nao walifika kushuhudia  Hawa wadada ni wadau wakubwa wa Ujamaa Arts Gallery  Mkurugenzi wa Ujamaa Arts Gallery Lorna Mashiba (kulia) akizungumza na Public Diplomacy Specialist wa Ubalozi wa Marekani Finike Gogomoka  Zoezi la uchoraji wa picha live lilifanyika  Wageni wakiangalia na kununua picha Lorna akimshukuru mgeni rasmi ambae alikuwa ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa nchini Herman Mwansoko...

Mzee Small atoa somo kwa wasanii

Msanii gwiji wa maigizo nchini Mzee Small akiwafundisha wasanii Richie (kulia) na JB (katikati) namna ya kuboresha kazi zao wakiwa katika kazi zao za sa...

Uhaba wa vitabu shuleni nini chanzo

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false false EN-US X-NONE X-NONE ...