
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akizungumza wakati wa ziara
yake ya kikazi katika shule ya Sekondari Mburahati iliyopo Katika Mtaa
wa Barafu,
Kata ya Mburahati Jijini Dar es salaam.Leo Jumatano, Mei 24, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akisikiliza maelezo kuhusu
shule ya Sekondari Mburahati mara baada ya kuzuru shuleni hapo.Leo
Jumatano, Mei 24, 2017
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mburahati Ndg Bagaya Kashato...