Wakiwa katika picha ya pamoja waendesha pikipiki hao pamoja na maofisa wa Bahari Rotary
Mr Jp akielekeza kitu kwa waendesha pikipiki hao
Kiongozi wao akizungumza na uongozi wa Bahari Rotary
Na Evance Ng'ingo
WAENDESHA Pikipiki wametakiwa kutumia kazi yao hiyo kuielimisha jamii katika kupambana na ugonjwa wa Polio.
Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki wa Mombasa, Ally Fedha wakati akizungumza...