Help Children
Love them
Saidia Watoto

Saturday, December 13, 2014

Tigo yadhamini maonesho ya Tehema kwa vijana, Viwanja vya Posta

Wadau kutoka Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani, Goethe Institute wakiwa kwenye maonesho hayo. Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akitoa maelekezo kuhusiana na namna ambavyo mradi huo unafanya kazi, maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo  Wanafunzi wa Chuo cha A3 Institute wakionesha manjonjo yao ya upigaji wa picha katika maonesho hayo ya...

Tuesday, November 25, 2014

Graduation ya Salome Magaya aliehitimu KIU pamoja na mwanae Lily Magaya aliehitimu Saut

...

Sunday, October 19, 2014

Bahari Rotary yawapokea waendesha pikipiki wa Mombasa wanaohamasisha elimu dhid ya Polio

Wakiwa katika picha ya pamoja waendesha pikipiki hao pamoja na maofisa wa Bahari Rotary Mr Jp akielekeza kitu kwa waendesha pikipiki hao Kiongozi wao akizungumza na uongozi wa Bahari Rotary Na Evance Ng'ingo WAENDESHA Pikipiki wametakiwa kutumia kazi yao hiyo kuielimisha jamii katika kupambana na ugonjwa wa Polio. Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki wa Mombasa, Ally Fedha wakati akizungumza...

Bahari Rotary yawapokea waendesha pikipiki wa Mombasa wanaoelimisha masuala ya Polio

Wakiwa katika picha ya pamoja waendesha pikipiki hao pamoja na maofisa wa Bahari Rotar...

Thursday, October 2, 2014

Penzi la nguruwe lamsitisha masomo

Picha ya Maktaba Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Sunday, September 28, 2014

Milioni 100 zapatikana kusaidia elimu kata ya Kipawa, zimechangishwa na Diwani wa kata hiyo Bonnah Kalua

 Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg. Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kuendesha harambee hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.Zaidi ya sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee hiyo.  Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa akitoa hotuba...