
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Resolution Insurance,
Maryann Mugo akikabidhi kadi za bima ya afya kwa wakazi wa Tandale kwa dada wa
msanii Diamond Platinum, Diamond aliahidi kuwapatia wakazi 1000 huduma hiyo ya
bima (Na Mpigapicha Wetu)
Na Mwandishi Wetu
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul, Diamond Platinum ameshakamilisha ahadi yake ya kuwapatia kadi ya huduma ya bima ya afya wananchi wa Tandale.
Diamond aliwahi kutoa...