Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, November 21, 2018

Diamond akabidhi rasmi kadi za bima ya Resolution kwa wakazi wa Tandale

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Resolution Insurance, Maryann Mugo akikabidhi kadi za bima ya afya kwa wakazi wa Tandale kwa dada wa msanii Diamond Platinum, Diamond aliahidi kuwapatia wakazi 1000 huduma hiyo ya bima (Na Mpigapicha Wetu)  Na Mwandishi Wetu Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul, Diamond Platinum ameshakamilisha ahadi yake ya kuwapatia kadi ya huduma ya bima ya afya wananchi wa Tandale. Diamond aliwahi kutoa...