
Mmiliki wa kampuni hiyo, Riza Ergun akiwa na wadau kadhaa waliojitokeza kwenye uzinduzi huo
Wafanyakazi na wageni waliojitokeza siku hiyo ya uzinduzi wa duka
Riza Erguna akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka lake hilo hapa nchini
Na Mwandishi WetuKAMPUNI ya kimataifa inayojihusisha na utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya mbalimbali vya mapishi kwenye hoteli , PiMAK imefungua duka hapa nchini lililopo Mnazi Mmoja, Dar es...