Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, December 12, 2016

Wanawake wajasiriamali 29 nchini wapewa mafunzo na Taasis ya Graca Machel

Mmiliki wa shule ya chekechea na msingi ya Barney, Marina Juma akifurahi baada ya kupewa cheti cha kuhitimu mafunzo ya miezi 10 ya kuwajengea uwezo wa wanawake wa kujiendeleza kiuchumi yaliyoratibiwa na Mfuko wa Graca Machel, kulia ni Meneja mradi wa mfuko huo  Korkor Cudjoe na katikati ni Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wanawake nchini, Jacqueline Maleko (Picha na Mpigapicha Wetu) Normal 0 false false false EN-US ...

Tuesday, November 22, 2016

Let us support this initiative

...

Wednesday, November 9, 2016

...

Tukawaunge mkono Hassan Majar Trust Fund katika hili

...

Monday, April 4, 2016

Falling in and rising out: A testimonial of recovering an alcohol addiction

Consider the message please They need love Let us support them It all started with deception, loneliness and isolation. Being taken away from his friends and family as a consequence of a situationhe never asked for,turned out to be a trigger for a vicious downward spiral he found himself trapped in. He was just a shy kid back then. Back when he found himself in an overwhelming social void occupied only by the painful inability to really...

Friday, April 1, 2016

SIX SECONDARY SCHOOLS OPEN NEW LIBRARIES

Five corporates - SONGAS, Wentworth Africa Foundation, Mantra Tanzania, BG Tanzania and Bakhresa Group – have supported the development of new libraries at 6 secondary schools.  The libraries were created by 29 volunteers under the auspices of Realising Education for Development.The schools are:Raha Leo Secondary School, Mtwara Municipality, Mwena Secondary School, Ndanda (Mtwara),Mtapika Secondary School, Masasi Municipality,Mwinyi...

Wednesday, March 23, 2016

Tigo yatoa madawati 50 kwa shule 10 za Kinondoni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda akihutubia wananchi na wanafunzi katika makabadhiano wa msaada wa madawati 500 yenye thamani ya shilingi milioni 82.5 kwenye shule kumi za msingi katika mkoa wa Dar es Salaam Sherehe ya makabidhiano ilifanyika shule ya msingi Kawawa iliyopo Kigogo Luhanga. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda(kulia) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (wa pili kulia),wakiwa wameketi...

Tigo yatenga Milioni 300 kuwasomesha wanafunzi

Meneja mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni hiyo kwa wanafunzi tisa wanaochukua mafunzo ya Tehama katika vyuo vikuu vya hapa wa jumla ya shilingi million 300 mapema leo  jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula na kushoto ni Meneja wa huduma za Jamii Tigo, Woinde Shisael. Mkurugenzi mkuu wa DTBi, Mhandisi George...

Tuesday, February 9, 2016

Employment Opportunity at St Jude

EMPLOYMENT OPPORTUNITY REF: SOSJ/HR/SR/001/16 POSITIONS: 1.    Writer/Journalist 2.    Photo/Videographer The School of St Jude is a charity funded school that provides a FREE, high-quality education to over 1,900 Primary and Secondary children from the disadvantaged communities in Arusha. We are seeking a creative energetic individual to fill the above positions in our business departmentat the School of St Jude,...