Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, November 22, 2015

NYAKOREMA RIOBA donates books to READ International

Nyakorema Rioba left, giving a book to a Read representative   Nyakorema Rioba delivered a donation of her new book ‘Nitakuwa Mfano’ (I will be a role model) to READ International on Friday 20 November.   Her books will be placed to new libraries that READ will be setting up in 2016 in Mtwara, Ruvuma, and Dar-es-Salaam.Nyakorema is a mother of 2 and a female engineer working at the Tanzania Bureau of Standards, with an interest...

Tuesday, November 3, 2015

Mdau wa Mitindo Deo atoa somo kwa models wa Black fox

  Na Mwandishi WetuVIJANA wanaojifunza fani ya Uanamitindo hapa nchini wametakiwa kutumia muda wao mwingi kujifunza fani hiyo kutoka kwa wanamitindo wenzao wa nje ya nchi. Wito huo ulitolewa juzi na mdau wa fani hiyo ambae ni mtangazaji wa kipindi cha Nirvana kinachorushwa na kituo cha Luninga cha East Afrika, Deogratius Chitama wakati akizungumza na vijana wanaojifunza fani hiyo. Deo alisema kuwa kutokana na ugeni wa fani hiyo hapa nchini vijana...