
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI iko katika mchakato wa kuja na bei elekezi ya ada kwa wajili ya shule za msingi na sekondari hapa nchini.
Hatua hiyo ya serikali imetokana na kukamilisha mfumo wa gharama halisi ya ada kwa mwanafunzi kwa elimu ya juu katika vyuo vikuu hapa nchini ambao utaanza kutumika mwaka ujao wa fedha.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa alisema mfumo huo utasaidia wanafunzi,...