Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, December 15, 2013

Diana alivyosherehekea graduationa yake

                                                                                                              ...

Thursday, December 5, 2013

Mchongo wa kazi changamkieni

Tanzania Football Federation is Football Organization registered in the United Republic of Tanzania under the National Sports Council Act of 1967 as amended in 1971.TFF is responsible for;•    Developing promoting and regulating the sport association football in all its forms through the territory of Tanzania Mainland.•    Encouraging the sport of association football at the national level in the spirit of fair play.•   ...

Thursday, November 28, 2013

Nkenge Foundation kusaidia upatikanaji wa madawati

Waandishi wakifuatilia mkutano huo Mbunge wa Nkenge Assumpter Mshama akiwa na msaidizi wake marabaada ya kuzungumza na waandishi wa habari jana Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Asa Mwambene akiangalia harakati za Nkenge Foundation. Habari Kamili Mbunge wa jimbo la Nkenge mkoani Kagera, Assumpter Mshama kupitia Taasisi yake ya Nkenge,  leo anaendesha hafla ya chakula cha usiku kuchangia upatikanaji wa madawati ya wanafunzi wa...

Thursday, November 21, 2013

Kifaa cha kuzima moto bora zaidi mashuleni

KAMPUNI ya Simba Logistic Equipment Supply jana ilizindua kifaa cha kuzimia moto kwa kurusha kiitwacho Bonex ambacho vinatumia kuzimia moto katika majumba, magari na sehemu nyinginezo. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa vifaa hivyo Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simba Logistic Equipment Supply Co Limited, Fareed Nahdi alisema kuwa vifaa hivyo ni rahisi kutumika katika matukio mbalimbai ya...

Monday, November 18, 2013

Jery Silaa achangisha milioni 16 za madawati

Habari Kamili The First of its kind mayoral ball aims to raise TZS 4.98 Billion towards providing desk to 30,487 primary and secondary schools in Ilala Municipality by end of financial year 2013/14. 100% of all funds shall proceeds towards realization of this project. To assist towards the Fund raising for the Desks, The Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel has led the path by Hosting A charity art Auction Brunch,...

Sunday, November 17, 2013

Wanafunzi wa udaktari wasaidia upimaji wa kisukari Ilala

Mwanafunzi wa Udaktari katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya, Muhimbili Elizabeth Mkashabani akimpima urefu mkazi wa Dar es salaam aliejitokeza kupima afya yake Mwanafunzi wa Chuo Cha IMTU, Yasir Kazi Umati wa watu ukijiandaa kuingia kupima afya zao Madaktari wakiwa kazin...

Mama Asha Bilal achangisha fedha za kununulia Madawati Ilala

Akiwa na Meya wa Ilala wakiangalia picha ambazo ziliuzwa na fedha kutumika kuchangia upatikanaji wa madawati Wakitafakari jambo Mzungu huyu kainunua picha Hawa wadau wa elimu nao walinunua picha Ujunbe ulikuwa Dawati ni elimu Minzi alionesha picha yake aliyomchora Bi Kidude Basi baada ya kazi ya kuuza picha Mama Bilal akaondoka.   ...