Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, October 30, 2012

Jionee utofauti wa mazingira ya michezo kwa watoto ambao ni wanafunzi

Watoto hawa ni wanafunzi wa shule moja mkoani Singida wakiwa wanacheza katika sehemu ya uchafuchafu mara baada ya kutoka darasani Hawa nao ni watoto wa shule moja iliyopo hapa Jijini Dar es salaam wakicheza baada ya muda wao wa masomo.    ...

Friday, October 26, 2012

Benki ya NMB yaendelea na kampeni yake ya kuwambuka wanafunzi, yamwaga madawati

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mvumi wakiwa wamekaa kwenye madawati 85 yenye thamani ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki Bw. Ole                        Loibanguti(hayupo pichani) wilayani Kilosa, Morogoro. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mvumi wakiwa wamekaa kwenye madawati 85 yenye thamani ya...

Hasan Majaar Trust Fund (HMTF) yawanusuru wanafunzi kuendelea kukaa chini mkoani Njombe

Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu Asery Msangi akiwa katika picha ya pamoja na wadau wengine muda mfupi baada ya kukabidhi madawati nyumba yake ni  Mkurugenzi wa Hasan Majar Trust Fund, Zena Maajar Tenga na Kutoka Tigo Meneja Mauzo mkoa wa Iringa Ladislaus Karlo (kulia kwa Zena) Wanafunzi wakifurahuia baada ya makabidhiano hayo                                         ...

Sunday, October 21, 2012

Jionee mwenyewe tofauti ya mazingira ya elimu hapa nchini

 Hapa wanafunzi wakijadiliana na walimu wao ni katika mazingira ya vijijini hapa  Hapa ni katika shule ya msingi ya Itete iliyopo wilaya ya Nkasi katika mkoa wa Katavi wakiwa wanasoma wakiwa wamekaa chini kabisa darasani. Shule hiyop ilianzishwa mwaka 1988 na inakabiliwa na ukata mkubwa wa madawati huku walimu wakiwalaumu wazazi kwa kushindwa kuchangia elimu kwa shule hiyo na kuchangia kununu madawati. i  Hapa wanafunzi wa mjini...

Saturday, October 20, 2012

KDTF yatoa zawadi kwa washindi wa Mama Shujaa wa Chakula pia yatoa elimu

                                                                     Shanila Habib Managing Director Kalua Development Trust Fund akimkabidhi mama Elimiana Eligaesha zawadi baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula lililofanyika...

Friday, October 19, 2012

NMB imefanikisha kwa kiasi kikubwa elimu kwa Mama Shujaa wa Chakula na shindano la Maisha Plus kwa ujumla

                                             Baadhi  ya watu waliohudhuria siku hiyo                         ...

Thursday, October 18, 2012

Fountain Gate Academy shule ya kisasa inafundisha vizuri, wahi sasa

 Madarasa mazuri na ya kuvutia yanayomwezesha mwanafunzi kusoma kwa amani na utulivu  Kuna namna nzuri ambavyo vyumba vya madarasa vimewekwa katika mpangilio shirikishi katia ya mwalimu na mwanafunzi kusoma na kujifunza pamoja kama marafiki Kwa kawaida namba na herufi huwa zinavutia katika kupendezesha madarasa kama ambavyo darasa hili likiwa limepambwa na nambari na hivyo kumfanya mwanafunzi kuwa katika hamasa ya kusoma muda...

Monday, October 15, 2012

Wafanyakazi wa Zantel wapewa elimu ya afya

 Ili kuweza kuimarisha afya yako ikiwa pamoja na kufahamu namna ya kujirinda na magonjwa mbalimbali inatakiwa kupewa elimu ya kutosha kuhusiana na masuala ya afya pamoja na lishe, pichani wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Zantel wakipewa elimu ya afya kiujumla.   Pia kulikuwa na ushauri wa hapo kwa hapo kutoka kwa wataalamu wa masual ya afya  Wafanyakazi wakijadiliana masuala muhimu ya afya wakati wakisubiria kwenda kupima...

Friday, October 12, 2012

Maktaba iliyopo kijiji cha Lushongo wilaya ya Pangani

 Pembeni yangu ni mwandishi mwandamizi wa gazeti la Nipashe Lulu George anawakilisha mkoa wa Tanga nilikuwa nae katika ziara hiyo ni pia mwanaharakati wa masuala mbalimbali likiwamo suala la elimu pia  Katika kijiji cha Ushongo kilichopo Pangani vijijini kuna huyu jamaa ameanzisha maktaba yake kijijini humo ambapo anasomesha wanafunzi bure  Nilipata nafasi ya kuzungumza na mmiliki wa maktaba hiyo Sehemu ya mbele ya Maktaba...

Friday, October 5, 2012

Habari za masuala ya elimu zilivyotoka leo katika Habari Leo

Add caption S...

Add caption Karibuni msome katikia chuoo hiki cha ualimu Kujiajili sio lazima ufanye kazi za kielimu tu bali hata kazi kama hizi huwa ni sehemu ya juitafutia maisha d caption Add captio...

tumieni elimu yenu kwa makini

Mkandarasi wa nyumba hii hivi isjui alisoma wapi shule ya masuala haya ya majenz...

Haya dada tuvushe twende shule

Watoto hawa wanakisubiria kuvushwa kwenda shule asubuhi katiak eneo la Kigogo ambapo kunakuwa na ajali nyingi za watotoo wadogo  Add caption ...

Loyola inazidi kusonga mbele

Ilianza miaka ya 1995...